Msaada wakuu....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,108
21,788
Habari wakuu, nimekua nikijaribu kuinstall whatsapp plus, GB etc. Makini hii error imekua ikijitokeza:
App not installed. An existing package by the same name with a conflicting signature is already installed.
Tatizo nini wakuu? Inanikera sana hii error aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom