danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 575
- 146
Ni siku kadhaa sasa najaribu kutoa kiasi cha pesa kutoka akaunti yangu ya crdb bila mafanikio nimejaribu kutoa kupitia mpesa na fahari huduma kupitia simbanking bila mafanikio ,ninafika had kwny hatua ya mwisho ya kuthibitisha muhamala lakn sipat ujumbe wowote wa kutoka crdb au mpesa kwamba muhamala umekamilika na nikichek salio ninakuta lilelile halijakatwa sasa waliowah patwa na tatizo kama hili ninaomba wanifahamishe chanzo ni nini maana Nina shida na hzo pesa na kwa sasa Niko mbali na ofisi za crdb .ninawasilisha