Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

VYETI ,VYETI, VYETI .....Vyeti vimeokotwa , vyeti vya FADHILI MASAWE MICHAEL kidato cha nne amemalizia shule ya secondary GG .SHULUA iliyoko box 60138.Dar es salam, Kidato cha sita...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Now is a great time to change your LinkedIn password. You may recall the recent fallout from the company's 2012 breach, when the social network for professionals revealed that many more users had...
1 Reactions
3 Replies
824 Views
Tv yangu aina ya skyworth imeunganika na Dvd player...imezima ghafla nikiwasha ina-flick tu haiwaki tena.Inaweza kupona,au ndio ishakufa kma kuna fundi wa kuaminika humu j.f naomba Ani pm...
1 Reactions
0 Replies
803 Views
Msaada jamani simu yangu tecno y3+ ya Tigo iko slowly kwenye internet lakini nikitumia WI-FI ipo vizuri muongozo tafadhali
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, nilii root simu yangu na kui upgrade kutoka 4.4.2 kwenda 4.4.4 tangu nimeibadili imekuwa na tatizo LA kuchagua baadhi ya laini na kuandika invalid imei. Baadhi ya laini siwezi kupiga wala...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Anayejua how to fix ivalid imei on galaxy s3.... Help plzz[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Naomba msaada wa channel inayoonyesha mechi za copa america ktk kingamuzi cha star times
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wananchi Mjumbe wenu nahitaji kujua ni channel gani wanaonyesha Mpira wa copa America ktk star times nataka ni recharge ili niangalie hyo additional channel ya Soccer.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wana jukwaa ..... naomba msaada kwa simu tajwa juu nmedondosha na touch inarespond kwa shida ............ je kuna spare zake ( like kioo chake naweza badilisha?)
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nainstall software ya pastel evolution kwenye window 8, inaniambia hakuna net frame, nadownload netframe lakini inagoma kuinstall. Msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuuu naomba msaada wa kujua Access Point Name APN ya Mtandao wa Airtel
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu? Mimi ninatumia HP Laptop. Hivi karibuni niliupdate kutoka Windows 8.1 kwenda Windows 10. Awali pc yangu ilikuwa ilikaa na chaji hadi masaa 6. Sasa haikai hata dakika 30. Na hata...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wana JF naomba kujua kwa mtu ambaye kasoma computer application in certificate anaweza kusomea nn na chuo gani kipo vizuri.... Msaada tafadhar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu Ndg wana jamii forums Kuna Ndg hapa alikuwa anatumia huawei za tigo , kaweka sim card tofauti na tigo ikawa inaomba codes_ kaingiza Mara kadhaa mpaka ikawa SIM BLOCK...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Natakuliza shukrani zangu kwenu wana body, naomba kujua kwa ambae tayari ameshatumia mtandao tajwa hapo juu speed yake ipoje? Maana nataka namm nikachukue line pamoja na mifi kwaajili ya matumizi...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Siku kama tatu zimepita kuna mtu alipost akilalamika kwamba internet ya halotel imekua nzitoo sana, mimi kwangu ulikua poa tu. Lakini na mimi tangu asubuhi nilivyounga kifurushi mtandao umekua...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu hivi karibuni nimenunua techno w4 ambayo ina android 6 (marshmallow) lakin tatizo kubwa nashindwa kuiroot nimejaribu apps karibu zote za kuroot lakin imeshindikana je kuna njia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habar zenu! Naomba kujua Nini maana ya kurestore messages unapojiunga na whatsapp.. Kiufup sijazielewa hzi options mbili Restore msg &skip
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu hope ni salama! Ninafikiri jinsi ya kupata majina ya form IV wanaomaliza kidato cha nne na kupata division four (country wide) in a yearly basis. Ninaomba kama kuna mtu ana idea au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I'm back baada ya kutokuwa ktk mtandao huu kwa muda mrefu sasa.. Please, uliza kuhusu blackberry nitakusaidia na kama ni urgent sana nita ku refer kwa mtindo mwingine.. Feel free and home! BBZ10
0 Reactions
4 Replies
905 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…