inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 594
- 637
Ndugu wanajamvi
Nilidownload adobe photoshop CC sasa lakini nime experience matatizo mawili ambayo naomba msaada kwa wanaofahamu zaidi.
1.Adobe photoshop 3d haifanyi kazi. Kazi zote nafanya lakini nikitaka kufanya 3d intrusion nakuta menu yote ya 3d iko faint, hakuna kinacho-function. Hapa solution ni nini ili ifanye kazi.
2.Niki-install halafu nika un install,nikitaka ku intall set up nyingine ya adobe photoshop cc hiyo hiyo inagoma ku install.Yaani ina install halafu inaniambia some of the components were not succesfully installed.Ukiifungua haifunguki.Kwa hiyo mm nachofanya napiga window chini na kuinstall window tena ndo inakubali.Nataka nijue kwanini inakuwa hivi na kwa nini niki uninstall na kuinistall tena inagoma.
Ntashukuru sana kwa ufafanuzi yakinifu.