yilima jerad
Member
- Jan 16, 2016
- 59
- 25
Nimekinuuna yapayata mieezi sits iliyopita baggti nbaya nilikua nimesafiri sasa nimerudi kila nikiwasha kinaniambia no signal je nifanyeje, nimejaribu kuzungusha antenna bado Niki search Chanel inaandika no Chanel received, na signal kinasoma 0% je nifanyeje, msaada