Wapi Nawezapata Fito za Dish ft 8?

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
WanaJF naomba kujulishwa wapi kwa Dar nawezapata fito za dish la ft 8 la bati(sio la wavu). Aidha, nijulishwe na bei yake.
 
kwa mafundi geti wanaochomelea kama unataka custom made. au kama kununua (sina uhakika kama wanauza separate) nenda kariakoo msimbazi jengo la simba ingia ndani utakuta maduka mengi sana ya madishi na receiver
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom