Simu haichaji mpaka niizime

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,636
3,661
Habari wadau?
Simu yangu ya LG inakataa kuchaji mpaka niizime ndo inachaji.

Je ushawahi kukutana na tatizo hilo au una experience yoyote kuhsu hilo? Naomba msaada wadau nilitatueje.
 
LG yangu ilikuwa ukiichagi inaondoa network zote hupatikani mpaka uitoe kwenye charger. Nikabadilisha charger nyingine ikafanya vizuri kwa siku chache ikaua touch. Wataalam wakasema charger ndio iliochoma touch. Kuwa makini mkuu unapochagua charger.
 
Hiyo simu yako imetengenezwa kama flash disc na ndio maana inatam ulika jivyo. Ukiiwasha inatambulika kama simu hivyo mifumo inatofautiana/ Inakinzana.​
 
Nimwshaidownload lkn Sijaielewa hyo App unaweza kunielezea japo kdg mkuu km hutojali inafanyaje kazi
Washa hiyo application then angalia connect charger yako uone kama umeme unaingia kama auingii hata kidogo basi jua utabidi kubadili charging system la sivyo simu yaweza hata kuungua.
 
Lg zinashida gani sasa? Ni issue ya chager tu mkuu
Ahh Mkuu yani LG sina hamu nazo kabisa maana mshikaji wangu alikuwa na LG g4 ghafla anaamka ikaanza kuboot loop bila mwisho tukajaribu kila Njia ikakataa tukasoma kwenye forums tofauti tukakuta ni tatizo linalotokea wengi nikamcheka sana kwamba imekula kwake.. Juzi juzi yakanikuta mimi na LG nexus 5x yangu screen ikaflicker kila nikiitumia yani ilinikosesha raha nimefanya vitu tofauti nothing mpaka kuna muda ikatulia yenyewe after a few days pia nikasoma kwenye forum nikaona ni tatizo la kawaida nikaamua tu ni uze so sema ukweli LG na mimi basi.

Hauoni sasa hivi LG G4 unapata kwa laki 6/7 tena BRAND NEW.. refurbished ndio usiseme yote because LG inataka kumaliza stock kwa sababu ya haya matatizo ya hii simu.
 
kama una warranty hakuna tatizo lolote, simu zote duniani zina matatizo na siku hizi makampuni mengi yanatoa warranty za miaka 2 kwa simu zao premium
 
kama una warranty hakuna tatizo lolote, simu zote duniani zina matatizo na siku hizi makampuni mengi yanatoa warranty za miaka 2 kwa simu zao premium
Nakubali kwamba kila simu inakuwa na tatizo lakini sio kufikia kiwango hichi LG admits G4 bootloop problem is a hardware fault, will repair affected devices kitu kama hichi kinaonyesha kuwa kama kampuni haupo serious na quality assurance ya bidhaa zako na pili LG, Motorola/lenovo, Sony etc. Sio kama kina Samsung, apple Tecno na I think pia Huawei wanaotoa international warranty za simu za na pia kuwa na service centres kila kona ya dunia. Ambayo inarahisisha matengenezo kama unavyo ona LG kwa tatizo la g4 ilikuwa inawatenegenezea watu wa USA bure wengine kwenye Nchi nyingine wakienda kwenye service centre they had to pay wengine ni network provider wao ndio alikuwa anawatengenezea but ziki rudi bado tatizo lipo na kwa tatizo langu simu niliagiza so ilikuwa a ipo under Googles warranty ndio tatizo hilo because nipo Bongo. Lakini ingekuwa Samsung ningepata warranty regardless nipo Nchi gani ambaye ndio the only person anaye toa 24months warranty.

Pitia hata hapa uone wenye warranty lakini simu wamenunua Nchi nyingine wanakata kutengenezewa Bootlooped? Post your info here! [Megathread]
 
Nakubali kwamba kila simu inakuwa na tatizo lakini sio kufikia kiwango hichi LG admits G4 bootloop problem is a hardware fault, will repair affected devices kitu kama hichi kinaonyesha kuwa kama kampuni haupo serious na quality assurance ya bidhaa zako na pili LG, Motorola/lenovo, Sony etc. Sio kama kina Samsung, apple Tecno na I think pia Huawei wanaotoa international warranty za simu za na pia kuwa na service centres kila kona ya dunia. Ambayo inarahisisha matengenezo kama unavyo ona LG kwa tatizo la g4 ilikuwa inawatenegenezea watu wa USA bure wengine kwenye Nchi nyingine wakienda kwenye service centre they had to pay wengine ni network provider wao ndio alikuwa anawatengenezea but ziki rudi bado tatizo lipo na kwa tatizo langu simu niliagiza so ilikuwa a ipo under Googles warranty ndio tatizo hilo because nipo Bongo. Lakini ingekuwa Samsung ningepata warranty regardless nipo Nchi gani.
ndio kama hakuna service centre si vyema kuinunua lakini lg wanayo service centre kenya na namba ya tanzania ya kupiga ili usaidiwe ipo ila kutengenezewa nadhani ndio hadi isafirishwe sijajua kama wanakupa replacement phone kwa kipindi ambacho simu haipo ama la
hii hapa service centre yenyewe
Service Center

hilo la simu kufa motherboard mbona ni kawaida sana makampuni yote hutokea na usisahau kuwa hizi simu siku hizi zinatengenezwa mahala pamoja hasa hasa foxconn hivyo ugonjwa wa huyu mwengine pia anao.

-stylus ya note 5 ilikuwa inaharibu kabisa simu ukiichomeka vibaya na samsung aka admit ni hardware fault akabadilishia watu
-iphone 6/6 plus kubend
-antena za iphone 4 kutoshika net

cha muhimu ni warranty tu
 
Soma hii ukinunua simu ya LG Nchi flani na ukaenda nyingine hawatokubali kukutengenezea pitia hii thread uone LG walivyo wapumbavu Bootlooped? Post your info here! [Megathread]

Na simu za LG zinatangenezwa kwenye factory yao Korea so ni tatizo Lao na sio simu chache ndio zinatatizo but ni batch kubwa sana wanasikitisha maana kwa tatizo la Samsung anakupa warning kwamba ukigeuza peni stylus sensor itarubika na kwa bending sidhani kama ni tatizo kubwa kama hili la motherboard kufa na kupoteza data zote without warning.

Alafu hiyo service centre nadhani wanahusika na ma fridge na TV na washing machine so sina uhakika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom