Hakuna simu itakayozimwa leo

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
Na uhakika hakuna simu itakayozimwa Leo

Kuna simu original zina imei fake

Na kuna simu fake zina imei original

HII PROGRAM ILIANZA KENYA ....ILISHINDIKANA MPAKA KESHO WAKENYA WANADUNDA NA SIMU FAKE ...

HII NI KIKI KWA TCRA KUPUNGUZA SIMU FAKE ....NA KUSAJILI MAKAMPUNI NA KUJUA IDADI YA WATUMIA SIMU ....ILI WAWEZE KUWAKATA KODI VIZURI MAKAMPUNI YA SIMU...
 
kwani TCRA wamesema wanazima simu?
wanablock IMEI sio wanazima simu..
 
Kuna simu apa haina imei kabisa thou ni original coz ili flashiwa sijui itakuwaje apo
 
Kuna simu apa haina imei kabisa thou ni original coz ili flashiwa sijui itakuwaje apo
ukiflash maana yake anatoa system yote ya simu inakuwa kama kopo kisha anakuwekea system nyingine ya kudownload.. so inakuwa fake
 
JAMANI VIPI KWA SIE TULIO-ROOT SIMU ZETU NAZO ZITAZIMWA KWAKUWA TULIZI-ROOT AU?...NAOMBENI JIBU MAANA HAPA KITUMBO JOTO
 
Nilichokifanya kwenye simu yangu sidhan kama kuna atakayenikosesha mawasiliano.....atakayezimiwa simu kabla au baada ya kuzimwa aje inbox nimpe maujanja.
 
Simu ikiwa na IMEI fake mwisho saa 5:59 usiku wa sasa

Simu ikiwa original au fake imechezewa IMEI ni kuzimwa tu hakuna namna
 
TCRA wafanye tu walichokusudia. watu wanaibiwa sana na wafanyabiashara kwakuuziwa simu fake kwa bei ya original.
 
Back
Top Bottom