Kim Jo Ngil
Member
- Jan 3, 2014
- 45
- 17
Mwenzangu simu yake haipokei wala kupiga au kutuma na kupokea SMS lakini anatumia data kuperuzi na whatsapp.
Download software inaitwa MTK engineer App. Kama utashindwa kuitumia ingia google utapata namna ya kuitumia.Mwenzangu simu yake haipokei wala kupiga au kutuma na kupokea SMS lakini anatumia data kuperuzi na whatsapp.
Ni HTC. Haina network ya simuni fake?
Fake iyo kama imei ya nje na ndani zinasoma tofauti mkuuPia mimi asubui nilipata tatizo hilo.ukipiga unaambiwa*Not registered on network*
Imei no ya simu yani uki dial *#06# ni original,nimeconfirm kwa kuituma 15090..pia nime confirm imei.info; kikaratasi cha nje kinachoonekana baada ya kutoa betri imei yake ni tofauti na simu nayotumia...nimechanganyikiwa sielewi ukweli ni upi...nikiwa natafakari nilitoa line ya simu na kuirudisha baadaye ika detect network....
Nilikua nataka niende tcra kuuliza kuhusu hilo swala...
Simu yako ipo kwenye list ya kuzimwa na TCRA , baada ya muda itazimwaMwenzangu simu yake haipokei wala kupiga au kutuma na kupokea SMS lakini anatumia data kuperuzi na whatsapp.