Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 371
Waheshimiwa nataka kununua simu aina ya sony naomba kujua tofauti ya sony T na sony Z na ipi bora kati ya aina hizo za simu
Karibu kiumeniAsanteni nimeshafanya maamuzi ya z3
Umenunua kwa bei gn?Asanteni nimeshafanya maamuzi ya z3