Msaada laptop haikamati internet

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
728
Habari wadau?
Nina Laptop yangu ambayo nilikuwa naitumia kwa shughuli mbalimbali nashangaa kwa sasa imegoma kupata internet japo nikiunganisha modem inaconnect vizuri na speed inakuwa poa tu lakini haifungui web yoyote
Nimjaribu troubleshooting zote ikagoma nikapiga window chini nikaiweka upya tatizo liko palepale naomba msaada kwa anayejua ufumbuzi wa hili.
Shukrani sana
 
emb tumia modem nyingine. ikishindikana inabid urafute compatible driver kwa pc yako halaf install ila inabid utafute pc nyingne kwa mtu halaf zidownload tdn hamisha kwa flash halaf instal kwa pc yako ikishindikana nichek fanya maombi mchawai yumo au eneo ulilopo hamna intetnet ya kweli
 
Asante mkuu nitafanya hivyo nitakupa mrejesho
 
Ni aina gani laptop yako ?? Unaweza kuwa umeswitch off network adapter. Bila kujua ama kama walivyosema wengine inawezekana ni drivers zina miss. Nakuchauri check network adapter manually lakini pia tumia Driver pack solution ku update driver za computer yako

Babu Kifimbo Cheza
 
driver pack naona wengi wanaisifu sana nahis itakua poa ila naona ni vyema kupata driver kwa manufacturer wa kifaa chako.
yes baadh ya laptop zna sehem ya kuwasha m wi i intnet n.k ni vyema aiangalie pc aviturn on hvo vibatan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom