Fifa 15 inagoma kwenye PC yangu

Popo bawaa

Member
Apr 19, 2016
47
2
Nime-download fifa 15 katika PC yangu ya core i3 ila kila nikifungua inagoma sasa nashindwa kuelewa tatizo ni uwezo wa Pc au kuna mautundu mengine unayo takiwa kufanya kama yapo mnielekeze wakuu...
 
Back
Top Bottom