Ndugu, waliposema BlackBerry 10 hii sio simu, bali ni Operating System OS kama Android na iOS.
Hii OS wenyewe BlackBerry hawaiendelezi ndio maana wanaamia Android.
Kusema kwamba watakua hawaisupport inamaana watakua hawaiupdate. Kwahiyo watumia Whatsapp watakua wanaendelea kutumia Whatsapp hiyo hiyo bila kuwa updated. Ni kama ipo abandoned.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.