Note 3 haisomi mtandao.

lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
2,386
Likes
5,505
Points
280
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
2,386 5,505 280
Wakuu habari za wakati huu.

Nina sim yangu samsung note 3 imegoma kusoma mtandao toka asubuhi. Mtandao wa internet hauna shida inasoma kama kawaida ila sipigi wala kupokea sim.

Kila nikipiga naambiwa not registered in network. Nimejaribu kubadilisha line lakini zote naambiwa sijasajiliwa kwenye network. Inasoma mtandao na huduma za internet ziko poa ishu ni voice calls.

Imekuaje au nifanyeje?. Msasda wenu wakuu.
 
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
3,768
Likes
1,990
Points
280
Age
56
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
3,768 1,990 280

Taarifa simu nyingiza samsung og imei zake zili corrupt lakini zamani zilikuwa zina fanya kazi (chukua hatua)
 
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
2,386
Likes
5,505
Points
280
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
2,386 5,505 280
Taarifa simu nyingiza samsung og imei za zili corrupt lakini zamani zilikuwa zina fanya kazi (chukua hatua)
Sijaelewa ulichokiandika mkuu.

Lakini pia nichukue hatua gani?
 
Evari77

Evari77

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Messages
393
Likes
243
Points
60
Evari77

Evari77

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2015
393 243 60
Simu yako inatakiwa kufanyiwa marekebisho, inawezekana kabisa imei yake iliopo nyuma ya battery na Ile inayo patikana kwa *#06# ipo tofauti, hiyo inaweza kuwa duplicate ikazimwa na tcra na hii utokea sana kwa Samsung nyingi kwa sababu, nyingi ni used kutoka nje na zinakuwa zimefanyiwa mabadiliko ya namna fulani hiyo tafuta msaada kwa mapigwa wa ku repair simu za Samsung original, si kila kitanda ukiona neno Fundi simu wanaweza
 
Dexaquin

Dexaquin

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Messages
215
Likes
46
Points
45
Dexaquin

Dexaquin

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2015
215 46 45
Wakuu habari za wakati huu.

Nina sim yangu samsung note 3 imegoma kusoma mtandao toka asubuhi. Mtandao wa internet hauna shida inasoma kama kawaida ila sipigi wala kupokea sim.

Kila nikipiga naambiwa not registered in network. Nimejaribu kubadilisha line lakini zote naambiwa sijasajiliwa kwenye network. Inasoma mtandao na huduma za internet ziko poa ishu ni voice calls.

Imekuaje au nifanyeje?. Msasda wenu wakuu.
Hata Note II yangu mkuu inatatizo kama lako, sijui nini tatizo
 
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
2,386
Likes
5,505
Points
280
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
2,386 5,505 280
Hata Note II yangu mkuu inatatizo kama lako, sijui nini tatizo
Nimewasiliana na watu wa tcra wamesema simu yangu ina dublicate imei hivyo kuanzia jana wamefungia au kufuta sim zote zenye imei dublicate au zaidi.

Simu yangu inaweza kua na tatizo kama langu hvyo itakua watu walidublicate imei za hizi sim. Ni hasara tu mkuu.
 
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
2,386
Likes
5,505
Points
280
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
2,386 5,505 280
Simu yako inatakiwa kufanyiwa marekebisho, inawezekana kabisa imei yake iliopo nyuma ya battery na Ile inayo patikana kwa *#06# ipo tofauti, hiyo inaweza kuwa duplicate ikazimwa na tcra na hii utokea sana kwa Samsung nyingi kwa sababu, nyingi ni used kutoka nje na zinakuwa zimefanyiwa mabadiliko ya namna fulani hiyo tafuta msaada kwa mapigwa wa ku repair simu za Samsung original, si kila kitanda ukiona neno Fundi simu wanaweza
Hao mabingwa wanapatikana wapi? Tcra wameniambia sim yangu ni dublicate. Sijui kama inaweza kua repaired au la.
Imei original ni ipi, iliyo nyuma ya betri au ya kubonyeza *06#?
 
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
3,768
Likes
1,990
Points
280
Age
56
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
3,768 1,990 280
Sijaelewa ulichokiandika mkuu.

Lakini pia nichukue hatua gani?
NIMESEMA HIVI SIMU NYINGI ZA SAMSUNG OG MMEKUWA MNAZITUMIA imei ZAKE HAZIFANANI NA ZA KWENYE CHINI YA BETRI AMA PIA ZIME CORRUPT HAPA KUNA VITU VIWILI KU REBUILD imei AMA KUNUNUA SIMU NYINGINE
 
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
2,386
Likes
5,505
Points
280
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
2,386 5,505 280
NIMESEMA HIVI SIMU NYINGI ZA SAMSUNG OG MMEKUWA MNAZITUMIA imei ZAKE HAZIFANANI NA ZA KWENYE CHINI YA BETRI AMA PIA ZIME CORRUPT HAPA KUNA VITU VIWILI KU REBUILD imei AMA KUNUNUA SIMU NYINGINE
Ok, na rebuild vp imei mkuu.

Imei origino ni ipi hasa ya chini ya betri au ya kubonyeza *06#.
 
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Messages
3,768
Likes
1,990
Points
280
Age
56
B

Benny Haraba

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2012
3,768 1,990 280
Ok, na rebuild vp imei mkuu.

Imei origino ni ipi hasa ya chini ya betri au ya kubonyeza *06#.
Kihalisia simu nyingi zilizoko mikononi mwa watu nyingi mme nunua mikononi na maanisha siyo dukani pia mmekuwa mna badilisha housing zenye imei tofauti na ya kwenye simu hapa ndiyo patamu kukujibu ni ile ya kwenye simu
 
Forum statistics

Threads 1,237,532
Members 475,534
Posts 29,292,181