Hii Android N ni nn hasaGoogle has revealed Android N official name "NOUGAT"
![]()
Android ni mfumo wa uendeshaji simu(operating system) ambao unamilikiwa na kampuni ya Google, na mfumo huo una matoleo mengi kama vile (Eclair,froyo,gingerbread,jellybean,kitkat,lollipop,marshmallow) na toleo jipya ni Android N ambalo limepewa jina leo hii na kampuni husika yaan Google ,kwa jina la "NOUGAT".Hii Android N ni nn hasa
utamu utamu utamu wanafananisha utamu unaoweza kuupata kupitia aina ya chakula kilichofananishwa na mfumo huo.Kwanini wanatumia majina ya vyakula?
Umesahau Battery sever..Android ni mfumo wa uendeshaji simu(operating system) ambao unamilikiwa na kampuni ya Google, na mfumo huo una matoleo mengi kama vile (Eclair,froyo,gingerbread,jellybean,kitkat,lollipop,marshmallow) na toleo jipya ni Android N ambalo limepewa jina leo hii na kampuni husika yaan Google ,kwa jina la "NOUGAT".