laptop/dektop nzuri kwa gaming na graphics

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,788
3,028
za leo ndugu.
husika na kichwa cha habari hapo juu. ningependa kufahamu laptop au desktop ambayo ni nzuri kwa gaming na graphics kwa pamoja.
nataka kuanzisha center yangu kwa ajili ya hio biashara.
laptop/desktop kama 20 zinatosha kabisa.
nina millioni40 najua nitabana matumizi kufanikisha hio shughuli.
pia kwa wale wenye hela kidogo wanaotaka kwa matumizi ya peke yao itapendeza zaidi tupeane elimu.
 
Kwanza Nunua Desktop kama Dell Dell OptiPlex 3020 ambayo ni Minitower PC (Intel Core i5-4590 3.3 GHz, 8 GB ambayo inafika laki Tano hadi laki Saba
Halafu ukipata na Graphics Card Ya Nvidia (DGP) Kama
gtx 750
gtx 750ti
zotac geoforce 560
 
za leo ndugu.
husika na kichwa cha habari hapo juu. ningependa kufahamu laptop au desktop ambayo ni nzuri kwa gaming na graphics kwa pamoja.
nataka kuanzisha center yangu kwa ajili ya hio biashara.
laptop/desktop kama 20 zinatosha kabisa.
nina millioni40 najua nitabana matumizi kufanikisha hio shughuli.
pia kwa wale wenye hela kidogo wanaotaka kwa matumizi ya peke yao itapendeza zaidi tupeane elimu.

Ingekuwa kwa ajili ya matumizi binafsi ningekushauri ununue desktop, ila kwa biashara ni vema ukaangalia upande wa pili wa consoles, hapa nazungumzia Xbox one, Xbox 360, play station 4, na Play station 3. Ukienda upande wa console hautatumia gharama kubwa sana ukilinganisha na Desktop kulingana na gharama ya vifaa vyake hasa hasa Graphics card.

Unaweza kuanza na Ps3 10 na flat tv 10 kwa mtaji mdogo tu, pima upepo, changamoto, na mengineyo baada ya hapo unaweza amua ku migrate kwenye ps4. ila kwa pc sikushauri kabisa. (PC's are just not a good financial choice).
 
Back
Top Bottom