Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,120
- 1,510
Habari za muda huu wapendwa waheshimiwa wa JF.
Nina Jokofu langu lina muda wa takribani miaka minne tangu nilinunue yaani siku hizi ukiliwasha linawaka kama siku mbili au 3 kisha linajizima , inaweza kuchukua hata mwezi mmoja ndo likawaka tena kiukweli bado sijajua tatizo ni nini na ningependa mnishauri tatizo litakuwa kwenye nini ili nijue wapi pa kuanzia , Shukrani sana wadau.