Ndo kwanza naisikia leo hii!!! Pc yako ni simu????Wadau wa jukwaa hili naombeni msaada wenu nataka kubadili pc kutoka window 8.1 iwe android wenye kujua mambo hizo msaada wenu unahitajika
Android ni OS ya simu unawezaje kuiwezesha PC itumie Android. Umejichanganya babu au unasemea Windows 10 Mr Hero
@Mr.HeroWadau wa jukwaa hili naombeni msaada wenu nataka kubadili pc kutoka window 8.1 iwe android wenye kujua mambo hizo msaada wenu unahitajika
@Mr.Hero
Una option mbili
1. Kutumia Phonix OS
au
2. Remix OS
DOWNLOAD LINK
> Phoenix OS for x86 - Phoenix OS
ipo android x86 na matawi yake inayoingia kwenye computer kama alivyotaja mwalimu hapo juu