mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,168
- 8,937
Wadau najua hapa JF huwezi kukosa kitu,baada ya shemeji yenu kwenda masomoni na kazi ya kufua nguo imekuwa shuruba kwangu,sasa nataka kununua mashine ya kufulia nguo ambayo haizidi Tsh 500,000na si ya familia kubwa . je ninunue yenye sifa zipi sababu ni mbumbu wa hizo mashine,najua wengine watasema ni google,lakini kwenye google ni maelezo tu mi nahitaji kusikia kutoka kwa watumiaji,na je inahitaji vitu gani kuvifunga kwa mfano nikinunua ,ni sawa na vile ukinunua jiko la gesi lazima utahitaji mtungi,valve n.k,na je kitu kinachoitwa drum kina kazi gani ?ningependa pia kujua brands na models .Asent