Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
Nataka nibadili smartphone budget yangu 500,000 huawei GR5 Inafaa kwa fast Internet, multitasking na games?
Game HAIFAI kwasababu haina gyroscope sensorskwa internet inafaa sababu ina 4g
Multitasking inafaa sababu in speed kubwa na ram kubwa - Qualcomm MSM8939 Octa-core(4×1.5GHz+4×1.2GHz) na RAM 2gb
Games inafaa --sababu ya speed na ram na Display kuuubwa 5.5
ila kuna simu nzuri zaidi ya hio kwa bei hio hio..
mkuu simu sio mbaya ila kama shida ni games tafuta simu yenye snapdragon 650 hizi bei zake ni nafuu na zina core 2 za cortex a72 pamoja na gpu kama adreno 510 ambayo inaziaibisha hadi baadhi ya flagship.
simu za snapdragon 650 ni kama xiaomi redmi note 3 ambayo bila shaka unaipata kwa budget yako na change inarudi.
kokote utakapoikuta snapdragon 650 kwa bei chini ya laki 6 ujue haina mpinzani
kama unataka simu iliobalance kwanini usitafute Samsung? J7 ya 2016 inakaa na chaji sana, ina soc sawa na hio huawei na Camera nzuri bila kusahau warranty yako ya miaka 2Shida sio Games Tu bruh, nataka I balance kotekote hadi camera (Ubora wa Picha) na kutunza chaji
kama unataka simu iliobalance kwanini usitafute Samsung? J7 ya 2016 inakaa na chaji sana, ina soc sawa na hio huawei na Camera nzuri bila kusahau warranty yako ya miaka 2
cheki na camera review hapa
Samsung Galaxy J7 (2016) review: Jump start
ila make sure ni ya 2016 na sio ya 2015
ni samsung mkuu, samsung zote ni imara.Ni Imara na ni Bei kiasi gani in Tzsh?
ni samsung mkuu, samsung zote ni imara.
kuhusu bei sina uhakika sababu ndio zimetoka muda si mrefu ila ya 2015 bei rahisi zaidi ninayojua ni 475,000 hivyo tegemea hapo hapo around 500,000 inaweza zidi kidogo au kupungua kidogo
ni samsung mkuu, samsung zote ni imara.
kuhusu bei sina uhakika sababu ndio zimetoka muda si mrefu ila ya 2015 bei rahisi zaidi ninayojua ni 475,000 hivyo tegemea hapo hapo around 500,000 inaweza zidi kidogo au kupungua kidogo
cheki y3II tigo wanayo 195,000Nisaidie kuna mwingine hapa nataka nimchukulie ya 200,000/- Nimchukulie smartphone ipi?
Mkuu hiyo j7 utagundua vp ni ya 2016cheki y3II tigo wanayo 195,000
Huawei Y3II - Full phone specifications
version ya 4g sio mbaya kwa hio bei
-kwa nje ya 2016 ina frame za alluminium wakati ya 2015 ni plastic tupuMkuu hiyo j7 utagundua vp ni ya 2016
cheki y3II tigo wanayo 195,000
Huawei Y3II - Full phone specifications
version ya 4g sio mbaya kwa hio bei
mkuu unapozungumzia battery life ni suala pana, kama we ni mtumiaji mkubwa wa simu unatakiwa uangalie on screen time (OST) ya simu, so far duniani hakuna smartphone ambayo ina OST ya zaidi ya siku moja. mpaka zile power bank zenye simu ndani (simu za 6000mah kupanda zenye uzito zaidi ya gram 200) sana sana unakuta OST ni masaa 14 tu.Hivi hizi battery za 6250 Mah zipo kweli,unakuta simu inajinad na battery hiyo lkn ukitumia siku nzima inakata wkt wao wameandika 3days
mkuu nimeitoa site ya tigo,Ipo madukani au bado maana naisearch YouTube siioni?