Nani kailoga computer science bongo?

Nani kailoga computer science bongo?

Dishunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
276
Reaction score
58
images (2).jpg
bungomahangman.png
Aliyeiloga Computer Science Tanzania naskia naye kalogwa kafa kenya kila siku wanakuja IDEA MPYA, Developers kibao Kenya lakin Tanzania wakitoka vyuo wanakimbilia kuwa mabloggers kutafuta pesa za Adsense hii si hatari jamani nahis hata kulia mtu ana bachelor yupo anamiliki blogger ina Adsense baada ya Kufanya Interview kibao kachemka anaamua akae tuu sasa apate walau $20+ za adsense bas hivi programing hamkusoma?

Wakenya wametengeneza gemu la Bungoma:Hangman KAMA MNAKUMBUKA YULE JAMAA ALIYEDANDIA HELCOPTER HUKO KENYA SASA KUNA GAME LAKE hii ni Idea nzuri na litafanikiwa bila shaka wa watu watapiga pesa za kutosha tuu >> Bungoma:Hangman - Android Apps on Google Play
 
Mkuu nisaidie kidogo, binafsi ni kila.za katika sekta hizo.. Hivi hio game inamlipa vipi mtengenezaji hali ya kua tunadownload free on playstore
 
Duuh mkuu hapo ni full mixing...umeanza na Computer Science ukaja kwa Developers ( wa apps) then bloggers na ad sense. Kuna uhusiano wa hivi vitu, lakini si wa moja kwa moja. Kwa mfano, developer au blogger si lazima awe na degree ya Computer Science, kuna tools ambazo mtu wa kawaida anaweza kutumia akafanya hizo kazi. Computer Science ni pana zaidi.
 
Mkuu nisaidie kidogo, binafsi ni kila.za katika sekta hizo.. Hivi hio game inamlipa vipi mtengenezaji hali ya kua tunadownload free on playstore
Kitendo cha wewe kupakua tuu anapata pesa, then hizo apps zinakuwa na matangazo so anapata pesa pia. Kwa jinsi ninavyoelewa mkuu
 
Hapo kidogo kwenye matangazo naweza nikakubali,
Turudi hapo kwenye kudownload, kwa nn yy afaidike ilhali wewe unachukua bure...
Natanguliza shukran mkuu
 
Hapo kidogo kwenye matangazo naweza nikakubali,
Turudi hapo kwenye kudownload, kwa nn yy afaidike ilhali wewe unachukua bure...
Natanguliza shukran mkuu
Pale unapodownload si unatumia MBs??.. Hizo mb si unanunua?? Utasemaje unadownload buree
 
Hapo kidogo kwenye matangazo naweza nikakubali,
Turudi hapo kwenye kudownload, kwa nn yy afaidike ilhali wewe unachukua bure...
Natanguliza shukran mkuu
mkuu hizo MBs unzotumia ndo zabadiliswa kua pesa.. so kuna asilimia za mgawanyo wa hiyo pesa kwa kila mhusika,, ( mmiliki w game/ nyimbo, mtandao_ _ _)
 
mkuu hizo MBs unzotumia ndo zabadiliswa kua pesa.. so kuna asilimia za mgawanyo wa hiyo pesa kwa kila mhusika,, ( mmiliki w game/ nyimbo, mtandao_ _ _)
Mjomba hapo umeua (mb kua pesa)... Kama ni ivo wanapiga faida
Asante kwa somo, nadhan nitapitia zaid mitandaoni kupata elimu ya nyongeza..
Wako mtiifu
Ki.laza
 
Mjomba hapo umeua (mb kua pesa)... Kama ni ivo wanapiga faida
Asante kwa somo, nadhan nitapitia zaid mitandaoni kupata elimu ya nyongeza..
Wako mtiifu
Ki.laza
Sio kweli kwamba anapata share kutoka kwenye mbs mkuu.
Pesa anapata kutoka kwenye matangazo na within purchases kama game lina hiyo kitu. Mfano magame flani unadownload bure ila wakati ukicheza labda itabidi utumie siraha flani kwenye misheni flani, so mtu ananunua kwa kutunia card yake ya bank.
Mbs za kampuni ni mali ya service provider hawashare na hao wenye application.
 
Sasa hapo ndo naweza nikakubali ,basi ndo mana kuna game ukicheza kidogo unaletewa matangazo mara kupatana, mara speed booster mara amazon... Asante kwa somo
 
Back
Top Bottom