Msaada blackberry z3

Msaada blackberry z3

Yimakatso

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
7,829
Reaction score
11,420
Habari za muda huu wakuu.Blackberry yangu z3 tangu jana inaniandikia 'SIM NOT DETECTED' sijui tatizo nini?Ilikuwa hivi jana nilipokuwa naingia kiwanda cha cement dangote mtwara simu iliniandikia emergency calls only baadae sim not detected.Wenyeji wa eneo hilo wakaniambia kuna tatizo la network hapo hivyo nikaamini nikitoka eneo hilo network itarudi.Cha kushangaza hata nilipofika Mtwara mjini network haikurudi na hadi sasahivi nipo Dar bado inaniandika SIM NOT DETECTED.Nimebadilisha chip tofauti tofauti hakuna inayosoma.Naombeni msaada wataalamu wa blackberry na smartphone kwa ujumla.NB:Simu ni original.
 
Sim not detect.
Mana yake haitambui sim card,angalia kwenye hayo meno ya kusomea simcard ndani ya hiyo simu yapo sawa. Inawezekana kuna loose conection
 
Back
Top Bottom