Mwashemele
Member
- Dec 18, 2015
- 17
- 6
Ma file yangu yameingiliwa na mdudu aitwae shortcut. Nimejaribu kuli cover lakini nimeshindwa. Ila mafaili yapo ila hayafunguki. Nisaidieni nahitaji kuya unlock niyafanyie kazi. Sijui nitumie program gani kuya unlock. Tafadhali sana wajameni msaada.