Kwa watumiaji wa mfumo wa Marshmallow kwenye Android

William Ngotti

Senior Member
Apr 13, 2015
187
48
Bila shaka wana JF mpo pouwa lengo la kuanzia uzi huu ni kwa wale wote wanaotumia mfumo endeshi wa android haswa wale waliopafanikiwa ku update toleo la Marshmallow katika simu zao.

Naomba watu marejeo hapa Pia sio mbaya kama utataja aina ya simu.
 
Kuna official na costum update mi niliudate samsung galaxy duos i9082 kwenda android version 6.0.1.
 
Naomba kuuliza update ya android 6.0.1 marshmallow kwenye Sony Xperia z2 inatoka lini
 
Mimi natumia Xiaomi mi4i
Na nimeweka custom ROM inaitwa slimbit
uploadfromtaptalk1459787433620.png
uploadfromtaptalk1459787441006.png
 
Back
Top Bottom