Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,372
- 1,207
Habari zenu wakuu, wataalam na manguli wa fani hii ya iT inayorun dunia.
Mi ni mmoja kati ya watu wanaokubali kua kuangalia movies mbali na kua ni burudani lakini pana vitu utajifunza tu. Naombeni tupeane majina ya movies ambazo mtu wa iT akipata nafasi ya kuzitazama lazima zita m-inspire kupenda fani hii zaidi binafsi nimeanza kujifunza programming mdogo mdogo and i believe that nikiwa naangalia inspiration movies zenye maudhui ya ki-iT nitachochea ile dhamira yangu kua programmer mzuri. Nawasilisha wakuu karibuni sana! [emoji122]