Msaada waku Bypass samsung account

Msaada waku Bypass samsung account

WIMICKY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
1,439
Reaction score
1,575
Habari
Jamani naombeni msaada wa file la remove samsung account.kila niki google nalipata la google account
 
Nadhan ni kes ya activation kama vile FRP au EE reactivation lock .. anyway mtoa mada hebu eleza umekwamia wapi..
 
natumia samsung s5 g900f na ipo encryption data siku zote na huwa na reset na nina log in vizuri bila matatizo
hivi karibuni imeanza kuniletea shida nina sign in kwenye samsung account huwa inanambia processing failed
nimejaribu kila njia bado simu haifunguki..nimejaribu kufuta account ya samsung kupitia laptop then nikai format bado inarudi pale pale kwenye samsung account.nikiingiza email niliyoifuta inasema not found.nime creat nyingine inakubali lakini mwisho tena inarudia maneno yalele processing failed.plz kwa mwenye msaada kwa hili
 
Back
Top Bottom