Je naweza pakua free windows office?

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
313
28
naomba msaada wakuu,kama naweza pakua free windows office ya 2007 na kuendelea,na isiwe ya majaribio. bila ya kutumia cd. kama inawezekana msaada tafadhali
 
mkuu iyo humor sijui ni kitu gani naomba unieleweshe nicheki mapema sana
Kumbe ulikuwa unataka windows 7, kama upo dar sema upo sehemu gani nikupe window xp,7,8,8.1,10 ms office 2013,2010, Linux-ubuntu,Linux mint,fedora, Debian.
Ila kama unataka kudownload mwenyewe hiyo link niliyoeka zote zinapatikana humohuumo KAT
 
n iko dodoma ukinipatia iyo link kwa kweli ntashukuri
 
Back
Top Bottom