Msaada jinsi ya kuactivate lg g4, nikiwasha inanipa option ya kuselect language, nikishaselect language inanipa option ya kuset internet connections ambayo nikiselect chochote kile inanipeleka kwenye configuring your phone kwa muda mrefuuuuu mpaka charge inaisha, tatizo ni nini na jinsi ya kutatua, naomba msaada wenu