GOOGLE PLAY SERVICE HAS BEEN STOPPED

john wa seba

Member
Oct 8, 2015
57
23
Msaaadaa tafadhar simu yanguu ya TECNO mda wotee inanipa hiyoo notification na pia huwa hairepond freshi. Wadau Wa jukwaa mnisaidiee nifanyejee?
 
Hata mimi Apps nyingi zinagoma na kuandika has stopped. Hadi nashindwa hata kupost kwa blog yangu. Wataalam wasaidie hii issue.
 
Back
Top Bottom