Msaada simu nazima data ila bado napokea huduma za internet

kipasola

JF-Expert Member
Feb 10, 2015
538
285
Naombeni msaada wakuu, toka jana nikizima data kwenye simu yangu bado naendelea kupata huduma za internet km WhatsApp, naweza kuingia jamii forums, wakuu tatizo ni nini maana simu inakwisha charge kweli kweli
 
Malware
 
angalia setting za wireless huenda mtaa wenu una wireless network
 
Wakati unatafuta ufumbuzi wa kudumu fanya kibarua cha kudelete APN kisha unaweka pale unapohitaji internet ili kuokoa charge.
 
Back
Top Bottom