Msaada mahali ninapoweza kujifunza kutumia mitandao ya kijamii

Aug 12, 2013
24
5
Wadau kiasi flani natumia hizi social network, lakini bado naona kuna vitu nahitaji kujifunza Zaidi kama vile kuunda page, kupromote page, kuunda blog na kuiendesha na mengine kibao. Wapi ntajifunza hayo?
 
Back
Top Bottom