Tujadili kuhusu INSTAGRAM

mrs fiance

JF-Expert Member
May 24, 2016
352
163
Je unaweza kuchukua pic Instagram? Kama huwezi cha kufanya.kuwa na Instagram ya kawaida,Alafu download [OGinstagram],unazitumia kwa pamoja unaweza kuchukua pic yoyote Instagram pamoja na video. Na ukitaka kupata notificatin za mtu yoyote Instagram anachokipost kwa wakati fanya hivi; ingia kwa account yake,kwa pembeni kuna vidoti vitatu ,utaona turn on nitification utabonyeza, kila atakacho post utaletewa kwa mda huo ,kwamba mtu flani amepost pic,.NAOMBA NAWE SHERE NASI, Unachokijua kuhusu Instagram ili tujifunze wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom