Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kwa wale wanoitaji kwa na blog , Tunadesign Blog zilizo katika ubora Na Kwa wale wenye blog Tunauboresha Blog iwe katika hali nzuri katika muonekano na wa ndani na nje..Pia tunauza Web domain kama...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
wakuu msaada tafadhali,baada ya hii mitandao kutufanya wateja wake kichwa cha mwendawazimu,hivi hakuna njia inaweza kufanikisha hili suala la Wi-Fi majumbani mwetu au mtaani,gharama zake huwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari IT, naomba msaada mwenye activator/key ya camstansia.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomba msaada ni wapi nako weza pata screeen ya limunia 820 kizuri / original kwa bei nzuri Ngamba
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele, leo natamani tutathmini kwa pamoja huduma zinazotolewa na hizi kampuni mbili. 1. Vifurushi Zuku wana vifurushi vya aina 4: Zuku classic, Zuku premium, Asia classic na Asia...
4 Reactions
72 Replies
22K Views
Salamu zenu wakuu, nina tatizo la kulogin kwenye facebook account yangu, mara nyingi nikiwa natumia facebook kwa pc huwa na log out na kulog in huwa inakubali, bt asubuhi hii nimejaribu kulog out...
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Naomba msaada wenu simu yangu tecno H6 haikubali kukaa default zero launcher!!
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Ni kwa uwezo wa Mungu tumeweza kuiona siku nyingine mpya WanaJF. Tafadhali kwa yeyote ambaye amewahi ku-face hili tatizo na akafanikiwa kulitatua, basi atoe msaada maana mpaka sasa sijapata...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Wakuu poleni na majukumu, natambua uwepo wa mafundi laptop humu sasa shida yangu ni kuwa umeme umeniunguzia laptop yangu, Je nifate taratibu zipi kurepair power supply ya ndani ambayo probably...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Habari za asubuhi wadau, nilidownload theme kutoka mtandaoni lengo langu ni kuibadilisha ile theme niweze kuitumia kwenye website yangu nna nikafanikiwa kuibadilisha. Tatizo limekuja baada ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani ehhh nishachoka na hawa followers wangu ni kidogo sana naombeni msaada wenu wakuu nataka nipate angalau followers 1000 tu watantosha mwenye maujanja naomba anielezee jinsi ya kuwapa
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Nilinunua Sony DVD Home Theatre( DAV - TZ150)na kila ninapoweka flash ili kucheza miziki ya MP4 formats ina display message " Video Frame not supported" na sauti unaisikia ila picture Ndio...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Kama kichwa cha habari kilivyo, Tablet yangu ilikuwa slow sana nika amua kufanya factory reset. Yaliyonikuta baada ya kui factory-Reset kuna maandishi yanakuja. Bahati mbaya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni text editor gani naweza kutumia kuhifadhi words list kwenye page moja. Word list mfano dictionary. Kwa anaye fahamu wadau
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Wakuu nawezaji kujua jina la mtu na mahali aliponipigia ikiwa kwenye simu yangu hakuna jina lake nimekuwa nikisumbuliwa sana na namba ambazo sizitambui.msaada kwa anaye jua
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Wanajamvi mi nipo Moshi, natamani ku upgrade simu yangu Samsung s3, nipo Moshi mjini. Naomba kuelekezwa ni wapi nitafanyiwa hio kitu. Ili ku-upgrade samsung yako fuata hatua hizi kama...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wadau habari! Kuna kampuni ilikuwa inajitangaza clouds fm kuwa wanahusika na kuhost page za FB, mwenye namba zao naziomba au website yao.
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Hongereni JF kwa kutumia https, nimeiona leo jion but why it take you so long? Tunasuburia vitu vizuri kutoka kwenu. Thanks in advance
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Za wakati wakuu,ni wap wanatoa short course ya web designing na wako vizuri hapa dar ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikua naitumia kwa kipind kirefu sana lakini sasa hivi mwanga wa screen umezima kabsaaa japo kuw inafany kaz vzur lkn mwanga ndio tatzo lkn cha ajabu zaidi ukiwa unaiwasha PC mwanga unatokea but...
1 Reactions
1 Replies
290 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…