Laptop yangu imepoteza mwanga

Laptop yangu imepoteza mwanga

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
Nilikua naitumia kwa kipind kirefu sana lakini sasa hivi mwanga wa screen umezima kabsaaa japo kuw inafany kaz vzur lkn mwanga ndio tatzo lkn cha ajabu zaidi ukiwa unaiwasha PC mwanga unatokea but ndani ya dk 2 mwanga unazima, so naombeni msaada wenu wapendwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom