Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Naomba kwa anayeifahamu QuickBooks anielekeze kama kuna uwezekano wa Ku upload file la excel
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Firmware Update for Huawei B960 Firmware Update for Huawei B970 Firmware Update for Huawei D100 Firmware Update for Huawei E150 Firmware Update for Huawei E122 Firmware Update for Huawei...
2 Reactions
17 Replies
7K Views
msaada jinsi ya kudownload nymbo kwa kutumia iphone pia jinsi ya kuset rngtone za nymbo na jins ya kuweka doc pcha kutoka kwny pc
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa JF hakuna kinachosindikana. Hebu wakubwa nijuze hivi hizi namba zinatengenezwa na programe ipi? Naomba japo kwa ufupi juu ya utaalam huu.
0 Reactions
89 Replies
32K Views
Wakuu habari zenu kuna simu ya tecno N2 ilisumbua nikarestore factory setting sasa tatizo ili kurudi tena inadai uingize email ya kwanza kabisa yaani google account iliyotumika mwanzoni nikiingiza...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu msaada jamani nateseka sana nipo sehemu ambayo internet ya voda ni kimeo nisaidieni jinsi ya kuunlock hii kitu
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Za wikiendi wakuu, Mwenye kujua sites ambazo naweza kupata series za kifilipino hasahasa The legal wife. Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tablet yang ya tecno nikiwasha ina niandikia neno tecno afu hakuna kinacho endelea nimejaribu ku reset lakin bado inanigomea nisaidien jaman
0 Reactions
7 Replies
979 Views
Habari yenu ndugu wana jamii wenzangu . Nilikua napenda kujuzwa kuhusu ukomavu WA store yetu sasa bhas kwa kua ulikua Changa je Kuna apps zozote zinazoongezeka ambazo pengine. Zinafunction muhimu...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
wakuu habari, nina laptop yangu ambayo imeanguka na kushindwa ku start, kwenye analysis fundi ananiambia hard disk ndio mbovu, sasa naomba msaada wa namna ya ku recover data kwenye hiyohard disk...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii Modem imenishinda kuichakachua kwa kutumia switchprojectModem ile alio Post gkiwango Adress yake iko unique http://192.168.8.1/html/home.html tofauti na zile za Vodacom Hilink Pia nikiweka...
0 Reactions
55 Replies
18K Views
Eti jaman naskia matangazo kwenye Radio kuhusu king'amuzi cha ZUKU wanadai eti ni kizuri halafu kina channel kama 70 hv, kwa aliyek2mia naomba atueleze ubora wa hiki king'amuzi na jins gani...
1 Reactions
30 Replies
24K Views
Samsung wameshatoa mzigo wa sumsung galaxy s7 mzigo hatari na matata kabisa huku ukiwa na battery la 3000mah. ====== Kampuni ya Samsung imezitangaza rasmi simu za Galaxy S7 na S7 edge kwenye...
9 Reactions
81 Replies
24K Views
JAMANI NIMEWASHA COMPUTER YANGU YA DELL 610, NIKAKUTANA NA TATIZO HILI '' MANUFACTURING MODE: LEVEL '67'''''PRESS FN + X TO RETURN THE SYSTEM TO NORMAL MODE'. NIKI PRESS fn x haifanyi kazi...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nahitaji kujua namna ya ki set whatsapp ili ukiwa online mtu asijue na ukisoma sms mtu asijue
1 Reactions
3 Replies
764 Views
Nawasalimu wote. Samahani wanajamvi hivi TV za LG flat screen huwa zina mfumo wa kupata channel za free bila kutumia king'amuzi wala cable kama ilivyo Samsung TV Kama huo mfumo upo. Unafanyaje...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau na wapenzi wa full version software na magame ya ukweli kama PEs,GTA,HITMAN,GOD OF WAR na mengineyo mengi kamueni hapa then mnipe matokeo #Muhimu hakikisha umeinstall utorrent na IDM pia...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu leo nimepigiwa simu na Tigo wakidai wanatoa offer ya line za 4g kwa watumiaji wa internet, yani napewa hiyo line kwa namba yangu ile ile! Sasa kabla sijaamua kuifata na kubadilisha line...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Hey, I just downloaded WhatsApp Messenger on my Android. It is a smartphone messenger which replaces SMS. This app even lets me send pictures, video and other multimedia! WhatsApp Messenger is...
2 Reactions
0 Replies
787 Views
Back
Top Bottom