Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

simu inateta hivyo muda wote, nifanyeje kutatua tatizo
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Wakuu nimeachiwa iphone 4s na best yangu mmoja hivi aliyekuwa hapa nchini tulikutana some where at the end akanipa iphone sasa sikuwa na haraka ya kuitumia juzi naiwasha inaniambia niingize apple...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari zenu wanajukwaa? The latest version ya playstore ina leta error nikitaka kuifungua "Unfortunately playstore has stopped working" ni takribani mwezi sasa.Kwa version up to 7.3.2 ya June 2...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
wakuu msaada wenu mwenye ufahamu kuhusu hii crash massege.. nime restore lakin wapi.. device yangu ni tecno c5 android 5.1
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo natimiza mwaka sasa toka nimenunua king'amuzi changu cha star times, lakini toka nimenunua baada ya kukiwasha tu, nimekuwa natazama chanel zote zilizomo katika kinga'muzi hicho bila ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina Chaja ya laptop ambayo inaweza tumika kwenye umeme wa Gari,Battery ya Gari au Solar(input 11V to 14V) kwa ajil ya kuchajia laptop,inaweza tumika kwa aina 8 tofauti za laptop(ina pin 8 so...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nina pc yenye ram 2gb, intel core 2 duo 2.4ghz processor. Nataka nikanunue video card ili nicheze game kama GTA 5. Naomba ushauri maana mi sio mjuzi wa haya mambo, ninunue video card ipi? Na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu whatsFapp yangu imepigwa ban ila GB WhatsApp ninayo iko fresh mtu anipe valid link ya kupata Cranked app ingine ya WhatsApp inayopiga mzigo tofauti na GbWhatsapp
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Msaada nataka kupiga wiring ya umeme wa solar. Tatizo kufunga nyaya kwenye switch na holder za bulb (cjaelewa ipi ianze na ipi ifuatie) Nawasilsha
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye kujua gharama na utaalam wa kutengeneza hizi application tafadhal anisaidie ninatamani kuwa na apps yangu mwenyewe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada Wa kuckrack easy video maker 5.26 au software yoyote ya kuedit video nzuri kwa beginner ilimradi isiwe trial version. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Naombeni mniambie lengo la hii kitu! Ina strength gani zaid ya normal HTML? Naomba mniwekee na web kadhaa zilizotengenezwa na XHTML.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni kujulishwa kwa wale wataalam wa IT mbona bundle ya Vodacom inaisha haraka kuliko ya Halotel. Nimetumia line ya halotel kwa miezi mitatu sasa nikinunua mb 500 ambazo zinaisha kwa muda wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu... Nimekutana na jamaa online wanauza lens flani hivi ambazo unaweza funga kweny simu yako, kwa hapa bongo nmeona hadi sh 20,000 kama gharama. Sasa naomba kujuzwa je kuna optimization...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba mwenye link ya website nzuri kwa ajili ya kupakua games nzuri 12, NFS, mission ambazo zinarun katika android anipatie.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
download android apps and games for free,nimetupia link za list ndeeefu za kudownload games na apps za android za bure na za kununua http://www.ardroid.net/apps/...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nimekuja mbele yenu naomba mwenye ufahamu zaid juu ya kanzisha kuendesha blog inaitajika mtaji wa shilingi ngapi NA ni city gani vinaitajika sanasana nitashukuru kwa msaada
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Naomba kwa anayeifahamu QuickBooks anielekeze kama kuna uwezekano wa Ku upload file la excel
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Firmware Update for Huawei B960 Firmware Update for Huawei B970 Firmware Update for Huawei D100 Firmware Update for Huawei E150 Firmware Update for Huawei E122 Firmware Update for Huawei...
2 Reactions
17 Replies
7K Views
Back
Top Bottom