Naomba msaada wa ku-upgrade Samsung galaxy S3 from 4.3 to 4.4

Naomba msaada wa ku-upgrade Samsung galaxy S3 from 4.3 to 4.4

Lazmas

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
561
Reaction score
111
Wanajamvi mi nipo Moshi, natamani ku upgrade simu yangu Samsung s3, nipo Moshi mjini. Naomba kuelekezwa ni wapi nitafanyiwa hio kitu.

Ili ku-upgrade samsung yako fuata hatua hizi kama ilivyopangiliwa hapo chini.....

Mimi nili update ndio maana inakuja hivyo lakini kama hauku update itakuletea mafaili..ila hakikisha chaji ktk simu yako ipo juu ya % 80 ili isizimike niiani......huo ndio uzuri wa samsung update unapata kutoka kwao.....

kazi kwako!!

View attachment 209225View attachment 209226View attachment 209227View attachment 209228View attachment 209229View attachment 209230View attachment 209231View attachment 209232View attachment 209233
 
Ili ku-upgrade samsung yako fuata hatua hizi kama ilivyopangiliwa hapo chini.....

Mimi nili update ndio maana inakuja hivyo lakini kama hauku update itakuletea mafaili..ila hakikisha chaji ktk simu yako ipo juu ya % 80 ili isizimike niiani......huo ndio uzuri wa samsung update unapata kutoka kwao.....

kazi kwako!!
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    64.7 KB · Views: 802
  • 2.jpg
    2.jpg
    50.6 KB · Views: 803
  • 3.jpg
    3.jpg
    50.1 KB · Views: 792
  • 4.jpg
    4.jpg
    33.6 KB · Views: 787
  • 6.jpg
    6.jpg
    42.2 KB · Views: 779
  • 7.jpg
    7.jpg
    43.2 KB · Views: 778
  • 8.jpg
    8.jpg
    50 KB · Views: 883
  • 9.jpg
    9.jpg
    25.4 KB · Views: 848
  • 10.jpg
    10.jpg
    64.3 KB · Views: 841
Nishajaribu kufanya hivyo, tatizo ni kua simu yangu imekua rooted, so niki klik kwenye updates inaniambia kua hakuna updates kwa kua simu yangu imekua modified. Sasa mkuu, ndo kusema simu ikiwa rooted, haiwezekani kui update over the air?
 
kama upo rooted tafuta rom inaitwa s4 revolution ni nzuri sana hutapoteza touchwiz na utapata improvements nyingi
 
kuna lolpop now mkuu.unaweza jarbu cm12 au Resurrection Remix ROM ni nzur sana..omni rom pia
 
Hapo inabidi ufanye ku-flash custom recovery kati ya TWRP(teamwin) au CWM(clockworkmod) alafu download cyanogenmod 11 build m12 hapa utapata Android 4.4.4 (Kitkat), tafadhali kama simu yako ndo unayoitegemea kwa matumizi muhimu usitumie Cyanogenmod 12 kwa sababu bado haipo stable kwa devices nyingi, baada ya miezi miwili Cyanogen wataachia Snapshot(stable) ya CM12 itakayokupa Android 5.0.1(Lollipop)..
 
Wadau nimeporwa s3 na nilikuwa sijaifanyia chochote kile kama ku root nimekaa nayo masaa tu jamaa wamenipora, msaada wa jinsi ya kuipata tafadhal, thanks in advance
 
kama upo rooted tafuta rom inaitwa s4 revolution ni nzuri sana hutapoteza touchwiz na utapata improvements nyingi

je ninaweza kudownload hiyo s4 revolution kwenye simu nakui launch kama app nyingine yoyote au lazima niwe na pc?
 
Wadau nimeporwa s3 na nilikuwa sijaifanyia chochote kile kama ku root nimekaa nayo masaa tu jamaa wamenipora, msaada wa jinsi ya kuipata tafadhal, thanks in advance

Pole sanaa mkuu... Sahau tuu.. Tafuta hela nunua simu nyingine chief.....
 
je ninaweza kudownload hiyo s4 revolution kwenye simu nakui launch kama app nyingine yoyote au lazima niwe na pc?
kuna mambo mengi bado hujayajua hapo, kuna kuroot, then kuflash recovery then kuflash rom.

na haya mambo kama hujayaelewa vizuri yana madhara makubwa kuliko faida.
 
kuna mambo mengi bado hujayajua hapo, kuna kuroot, then kuflash recovery then kuflash rom.

na haya mambo kama hujayaelewa vizuri yana madhara makubwa kuliko faida.

Ok, basi mi naomba nikutafute nikija dar unisaidie ku unroot hii simu. Pia itakua mwanzo mzuri wa kufahamiana, and am really looking forward to it.
 
kama upo rooted tafuta rom inaitwa s4 revolution ni nzuri sana hutapoteza touchwiz na utapata improvements nyingi

Mimi mkuu sija root simu yangu ila wananiambia imekua modified msaada mkuu.
 
nenda playstore download app inaitwa root checker kuhakiki zaidi kama huna root

Sorry! Root access is not properly installed in this device ndio jibu nililopewa nilijaribu kuroot kitambo ila ikawa bado naambiwa haijakamikika nilitumia app ya king root
 
Back
Top Bottom