computerkiddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 507
- 543
Hongereni JF kwa kutumia https, nimeiona leo jion but why it take you so long? Tunasuburia vitu vizuri kutoka kwenu.
Thanks in advance
Thanks in advance
ni basic step but for them it took so long.......Hehehe mkuu unavyoongea utadhani ni kitu cha ajabu, https ni basic step kwa mtu yeyote mwenye website mbona.
Tatizo ni je hawatoi data zako kwa serikali? Maana pamoja na kuficha username kuna njia nyingi sana za kumkamata mtu humu JF, almost kila mtu yuko traceable, JF hua wana~log IP Addresses zote.