Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Habari zenu wadau. Ninataka kuflash cm ila sijui ni programs zipi zinatumika. Hasa Nokia na Samsung.
Samsung tumia odin kama ni QualcommHabari zenu wadau. Ninataka kuflash cm ila sijui ni programs zipi zinatumika. Hasa Nokia na Samsung.
Mm ninazo za kila aina na zile ambazo waweza tumia bila box kama Miracle, Pirannah na octoplus kikubwa ni kujipanga tu kipesa maana hyo kitu inahitaji mtaji kidogo BroHabari zenu wadau. Ninataka kuflash cm ila sijui ni programs zipi zinatumika. Hasa Nokia na Samsung.
KITU CHA KWANZA NI LAZIMA UJUE KUFLASH SIMU UKISHA JUA HAPO NI LAZIMA UTAJUA NI TOOLS GANI UNAZI HITAJIHabari zenu wadau. Ninataka kuflash cm ila sijui ni programs zipi zinatumika. Hasa Nokia na Samsung.