itagata
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 218
- 77
Habari za leo wakuu, jana nimerudi nyumbani kutoka kwenye mizunguko yangu, nmekuta mtoto wangu mdogo kaigonga TV na kitu ambacho kimesababisha kupata mipasuko midogo midogo ambapo sasa haioneshi kabisa. Naomba kwa anaejua anisaidie wapi naweza pata kioo cha TV aina ya Boss inch 49 ili niweze kubadili.
Asanteni.
Asanteni.