TENGENEZA BUTTON HAKUNA SHORTCUT KWENYE HIZO KM NJIAZIPO UNGA WIRE MBILI (THEN FLASH MAKE SURE THE BATTERY IS FULLY CHARGED) HUWEZI KU FLASH KM VOLUME DOWN BUTTON HAIFANYI KAZIhabari wadau!nina simu ya Microsoft nataka kutoa passcode ila batani ya down haifanyi kazi,msaada kwa atakaye nisaidia kutoa hii passcode ?
NI MICROSOFT WINDOW NGAPI CHECK MODEL CNINI YA BATTERY JE UNA UJUZI WWT KUHUSU KUFLASH SIMU VINGINEVYO KWAKO ITAKUWA NGUMU KUMEZA JAPOKUWAKUNA HARDWARE RESET OPTION WE CAN ALWAYS google for solution depending on the model you have but flashing is more easy just download right file with same product codesniunge vipi wire