Habarini wanajamvi. Naomba kwa mwenyee anajua bundles na huduma zingine za mtandao wa TTCL afanye kushare nami/nasi please
Broadband na refer ile connection unaunganishiwa Telephone line mpaka nyumbani kwako!Broandband ndio nini mkuu? Je ina 3G hiyo TTCL?
Labda tukuulize Kwa nini labda ulifikiria TTCL na sio mitandao mingine?Ahaa basi naona nitaikosa maana nipo Dodoma na natumia simu yenye 3G.

Kumiliki Mkonga sio kigezo cha kuwa na perfomance nzuri!Kwasababu nimetumia Voda, tigo, airtel na halotel sijaridhishwa sana na mitandao hii.. nikataka nijaribu na huu maana nilisikia ndio wanaomiliki mkonga.
Voda ni kiboko aseMimi nipo chuoni UDOM pale mitandao yote hiyo ipo slow sana. Sijui ni sababu ya wingi wa watumiaji ama vipi. Ndio maana nikaamua kuuliza hii ili nijaribu. Ila nikiwa nje ya chuo basi voda wananifurahishaga.
Nilishasikia Similar complaints kwa hilo eneo la UDOM ila Nafikiri Halotel yaweza kua much betterMimi nipo chuoni UDOM pale mitandao yote hiyo ipo slow sana. Sijui ni sababu ya wingi wa watumiaji ama vipi. Ndio maana nikaamua kuuliza hii ili nijaribu. Ila nikiwa nje ya chuo basi voda wananifurahishaga.
Yeah sure! Halotel ndo angalau wanazidi wengine kwa pale... japo ni kama chongo kuongoza vipofu. Nina line ya tigo 4G huwa naitumia ktk moderm. Siku nikiamua kubadili simu basi lazima nichukue inayosuppory 4G.Nilishasikia Similar complaints kwa hilo eneo la UDOM ila Nafikiri Halotel yaweza kua much better
Ila bado ukiona Gundu I see ningekushauri swala la kucheki na Tigo 4G maana wamefika Huko na siku hizi kuna simu za bei ya kawaida zinazo support 4G with unapozidi kucheki alternatives jaribu kuliweka na hili kwenye list
3G ipo baadhi(machache) ya maeneo ya Dar.Broadband na refer ile connection unaunganishiwa Telephone line mpaka nyumbani kwako!
Ndio ni kweli TTCL wanayo 3G kwa Mkoa wa DSM tu
Ila iko Slow hivo bora utumie 4G kama hautaki hizo wired connections
Kwa navyojua TTCL GSM wana Operate DSM tu kwa sasa, na ni maeneo baadhi kama ulivosema kwa 3G na 4G!3G ipo baadhi(machache) ya maeneo ya Dar.
Je 4G ipo nchi nzima au dar tu?
www.ttcl.co.tzHabarini wanajamvi. Naomba kwa mwenyee anajua bundles na huduma zingine za mtandao wa TTCL afanye kushare nami/nasi please
Hiyo uliyotaja ni bora kuliko huo unaouliza?Kwasababu nimetumia Voda, tigo, airtel na halotel sijaridhishwa sana na mitandao hii.. nikataka nijaribu na huu maana nilisikia ndio wanaomiliki mkonga.