Star X, TCL na Home base Television, ipi bora zaidi?

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,542
3,502
Habari wadau,

Haya ni moja ya makampuni ya TV ya kichina ambayo naona yanafanya vizuri sokoni kwa sasa. Nimejaribu kuzunguka kariakoo nimeona bei zake zinafanana. Hasa kwa saizi nayoitaka ya 32".
Ningeomba kufahamishwa ipi TV yenye ubora zaidi kati ya hizo.

Karibuni wadau.
 
Habari wakuu, nahitaji kioo (screen) ya TV aina ya Boss inchi 49 mwenye kujua wapi naweza pata anisaidie tafadhari
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom