msaada: kibahasha kwenye svreen ya tv.

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,325
9,186
Tangu jana tumeunga kifurushi kwenye king'amuzi na majibu yakaja tayari ombi limeshapokelewa.
sasa tumesubiri mpaka sasa masaa 24 yameshapita hatuoni chochote,, na chanel ni zilezile tv1,itv,chanel 10,star tv,tbc1,eatv tu.
kilicho tushangaza kwa screen ya tv kuna kibar km cha msg imeingia kwenye simu . je km ndo msg za tv inasomwaje hiyo msg? au niishara gani hiyo?.
msaada wenu please maana startimes tunaelekea kuwachukia biashara yao.
 
king'amuzi gani boss, si uwapigie wahudumu
ni startimes mkuu wametuboa hawajui tu.
sasa hiki kibahasha kila ukibadili chanel chenyewe kipo tu....
kuhusu kuwacall ata sina namba yao zaidizaidi labda jina la wakala tu.
 
Back
Top Bottom