Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari Anayeweza kuweka music na video kwenye blog naomba anisaidie, pamoja na na mahali pa kupata mp3_URL. Uwanja ni wenu.
0 Reactions
3 Replies
583 Views
Kwa wataalamu wa kodi naomba kuuliza kuna jamaa yangu ana hii android box ameiunganisha kwenye TV sasa niliupdate kodi ambayo IPO kwenye TV box yake ila tatizo ninapofika kwenye install from...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Samsung galaxy s5s,sim iko katika hali nzuri sana,ni used na haikutumika sana tangia inunuliwe Bei yake ya kuuza ni 480,000/ Kwa mawasiliano 0715591141..dsm
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Habari za mchana wadau nilijaribu kudownload nyimbo za video kwenye simu yangu kupitia app vidmate baada ya hapo nikachomeka otg cable yangu na kuchomeka flash nikaziamishia humo baada ya hapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa yeyote mwenye utaalamu huo tupeane procedures
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari. Naomba ushauri wa kitaalamu ku-unlock simu ili niweze ondoa baadhi program zinazosomeka kichina.
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Nambeni mnisaidie jinsi ya kublock account ya Facebook.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ya mchana naomba kujua video converter nzuri kwenye simu ambayo itanipeleka kwenye Mpg au avi
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Wadau naomba tujadili hii smartphone mpya ya TECNO PHANTOM 6+ , nasikia kua iko fast sana na ni very "handy", je kuna mtu ameipata na kuitumia atupe details kidogo ikoje.
2 Reactions
79 Replies
11K Views
heshima kwenu wana jamvi! nina simu tajwa hapo kioo kimezingua na siwezi kuafford bei ya kioo dukani hivyo naomba kama kuna mtu ana spare used tuongee biashara tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu.... Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.... Nna lengo la kufungua blog yangu ambayo itaweza kuniingizia kipato sasa swala lipo kwenye hatua za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu Nashindwa kuiaccess flash inadai write-protection natumia window xp hvo mwenye kujua naomba msaada anifahamishe
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nisaidieni.. Nishanunua luku ila kuingiza ndio tatizo..
0 Reactions
10 Replies
15K Views
Mambo vipi Wapendwa Msaaada jamani bhandugu Kama una whasap + 2;3;4 kama unayo nitumie link naomba
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Kwa wale wanaotumia baadhi ya simu za lumia zinazosaport windows 10, ka umechunguza utagundua kwamba ile stock FM app imeondolewa kabisa. Sasa kwa wale wanaopenda kusikiliza traditional FM radio...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Huawei Ascend G6 inauzwa Price: Laki 3. Key specs: ☆ Screen Size : 4.50inch ☆Resolution : 540x960 pixels ☆ Processor : 1.2 Ghz ☆ Rear Camera: 8 MP ☆ Front Camera : 5MP ☆ Operating...
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Habarini wakuu nimekuwa nikishuhudia mara kadha watumiaji wa Tecno wanaposhambuliwa na watumiaji wa simu nyingine ambazo wao hudhani ni za ubora wa juu wamekuwa wakijitetea na comeback yao imekuwa...
7 Reactions
419 Replies
39K Views
Msaada game la action ktk android zur
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Jaman naomba mnisaidie kupata game zuri la mpira kwenye cm yangu boom j8 na linapo patkana [emoji122]
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Wakuu natanguliza shukurani kwenu kwanza. Mda umepita sasa nimewasilisha namba yangu ya simu katika Thread ya jamaa ambaye alikuwa anahitaji kujua maana au kujifunza jinsi ya kuflash na kuunlock...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom