Bro nataka nibadilishe housing kama inawezekana maake simu mpya hiikiukweli nilipenda sana simu nyeupe nakumbuka wakati nanunua s4 nilipigwa bei kisa nyeupe. lakini nilishagundua si lolote ni rangi tu. siku hizi nanunua black, kaka badala ya kutumia gharama kuibadilishia macover nakushauri uza nunua rangi uipendayo