Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,594
- 1,862
Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hapa Tanzania kuna kampuni inaweza niuzia kifaa kitakacho weza nipatia Internet yangu mwenyewe mfano niko kijijini sehemu ambayo bado hakuna huduma ya Internet lakini nataka kufunga kifaa kama hicho niweze tumia mwenyewe