injinia mganga
Member
- Oct 13, 2016
- 94
- 21
Ndugu wana jf pc yangu aina ya toshiba inayotumia Windows xp imegoma kutoa volume wala haioneshi network naomba msaada jinsi ya kuweka driver na namna ya kuipata hiyo drver asanteni
Unaposema haionyeshi network unamaanisha nini? Na je tatizo lilianzaje?Ndugu wana jf pc yangu aina ya toshiba inayotumia Windows xp imegoma kutoa volume wala haioneshi network naomba msaada jinsi ya kuweka driver na namna ya kuipata hiyo drver asanteni