Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Wadau nimevutiwa sana na app ya blog ya Udaku Specially na Bongo Swaggz. Naomba kujua software iliyotumika kuzitengeneza
Nilikuuliza swali kwenye uzi wa web hosting naona uko kimya mkuuNipe link ya blog yako nikutumie apk file yake free
Utahusika mwenyewe kuipublish playstore
nitaku generatia only the apk file then nikutumie 5 blogs only
www.kijiwe.co.tzNipe link ya blog yako nikutumie apk file yake free
Utahusika mwenyewe kuipublish playstore
nitaku generatia only the apk file then nikutumie 5 blogs only
Okay.... Inahitaji kujua sana codes?TAFUTA ANDROID STUDIO