Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

1.0. Introduction TAZAMA Pipelines Limited, jointly owned by the Governments of the Republic of Zambia and the United Republic of Tanzania operates a pipeline and associated infrastructure for...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za leo wanaukumbi wa Jamii forum.Natumia fursa hii kuuliza kama kuna wadau wenye taarifa kuhusu nafasi za kazi tulizoomba PCCB.Tafadhali naomba tufunguke wadau.
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wadau aliye omba nafasi za kazi b.o.t kuna mtu aliye itwa?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za leo wadau wa jf? natafuta kazi hata ya kujitolea (volunteer) katika taasisi/ kampuni yoyote ile, nimesomea fani ya rasimali watu( human resources) ngazi ya shahada (degree) pia nina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilipeleka maombi ya kazi za Operator pale Morogoro vipi wenzangu . Interview ilishafanyika nini? maana kimya hata sikuwahi kusikia kama wameita watu kwa ajili ya usaili. Naomba updates
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wana jf mimi npo mbeya nilikuwa nahitaj gari sasa hivi kuna usalama wowote endapo utatoe pesa yako kwa mtu usiyemjua wala kumuona pili lets say lmefika sasa may be dar port gharama ya...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
habari ndugu zangu nimepewa tangazo la kazi kwa nahaohitaji. Wanahitajika watu 5. Vigezo. Ujue kusoma na kuandika vizuri. Uwe na umri kuanzia miaka 18 nafasi 4 wasichana na 1 mvulana. Ila kazi...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau,habari zenu nina kaka yangu anaitwa Raphael Omwanda ana miaka 33.anatafuta kazi ya udereva ana leseni kubwa ya kuendesha magari yote kama Heavy duty truck (magari ya mizigo, bus,na gari...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Habar, Katika kuhangaika kwangu juu ya utafutaji wa ajira/kibarua, nilikuta tangazo la ajira linahitaj muuzaji na supervisor wa supermarket...sababu nahitaji nikachukua namba za simu,nikawapigia...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
  • Closed
Ni miaka mingi nimekuwa nikiwa na ndoto ya kufanyakazi na TISS. Kuanzia nikiwa shule nimekuwa nikifanya mambo yangu Kama mwana usalama yote hiyo ni ile nia yangu ya moyoni ya kuwa mwana usalama...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Nipo kuanzia saa 1 na nusu hv asubuhi na usaili walisema unaanza saa 2 na nusu...lakini cha kushangaza mpaka mida hii ya saa 3 hv hakuna kinachoendelea...kweli aliyesgiba hamkumbuki mwenye...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
hello fans, hiv naombeni kupewa taarifa kuhusu hawa jamaa wanaojiita geco. Nawasikia tu,siwajui wanafanya shuguli gan. Naombeni msaada,nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
937 Views
Anahitajika msichana mwaminifu, mchangamfu,mwenye bidii. kuanzia umri wa 18 na usiozidi 35. kazi ya kuuza duka la nguo sinza. Anaeishi karibu na eneo la kazi.. ajue kusoma na kuandika kwa ufasaha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. JOB TITLE: OFFICE MANAGER Job Description we are opening a volume printing documents in Dar es Salaam by this December. I am looking to fill one position. This position requires multiple...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kama kuna kazi mahali unajua naweza kufanya naomba uniPM namba yako ili niweze kuwasiliana nawe kwa msaada zaidi.Mimi niemaliza chuo kikuu mwaka huu. Sichagui kazi ila iwe ndani ya uwezo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina uwezo wa kutype kwa zaidi ya 50 WPM natafuta kazi au project ya mda mfupi au mrefu. kama unahitaji mtu wa kukusaidia Typing service unakaribishwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
waungwana jamani salama,tafadhalini sana naombeni msaada wenu wa kupata nafasi ya kuvolunteer,tangu nimalize chuo sasa yapata nina wiki mbili kitaa,taaluma yangu ni electrical installation ngazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana jf.. Nimehitimu records management (mtunza kumbukumbu) ngazi ya cheti mwaka 2011 chuo cha Utumishi wa Umma na nina uzoefu wa miezi 11 kufanya kazi za masjala, kwa sasa nipo tu mtaani...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamii.naulizia kazi za customer care kwenye kampuni za simu kama voda,tigo,airtel zina patikana vipi jamani,anae jua anijuze.mana hata matangazo yake ya kazi siyaoni. asanteni wanajamii
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom